Rollnova Account Overview

Total Chat Income

TZS 0

Available Balance

TZS ••••••

Total Minutes

0 minutes

🌍 Wageni wapo tayari, chati nao!

(Foreigners are ready, start chatting!)

Chat Rate

TZS 30,000 hadi TZS 50,000

Ma-Rollnova Partner — Wageni

Login to Rollnova

Ingia kwenye akaunti yako uendelee kuchati na kupata kipato.

Don't have an account? Register

online

Kuhusu Rollnova

Jukwaa linalounganisha Tanzania na Dunia

Rollnova ni jukwaa linalowawezesha watu mbalimbali kupata kipato kwa kuchati na wageni kutoka mataifa mbalimbali duniani, huku wakiwafundisha Kiswahili.

🌍

Wageni wa kweli

Chati na watu halisi kutoka mataifa mbalimbali wanaotaka kujifunza Kiswahili na utamaduni wa Tanzania.

💬

Chati, fundisha, pata kipato

Kila dakika unayotumia kuchati na kuwafundisha wageni Kiswahili inakulipa. Kadiri unavyochati ndivyo unavyopata zaidi.

🔒

Mfumo salama

Akaunti yako, mazungumzo yako na malipo yako yote yanalindwa kwenye mfumo wa Rollnova.

📱

Fanya kazi popote

Sakinisha Rollnova kama app kwenye simu yako na uendelee kuchati popote ulipo, wakati wowote.

Uko tayari kuanza kupata kipato kwa kuchati?

Anza Sasa

Wasiliana Nasi

Tupo Tayari Kukusaidia

Kama una swali lolote kuhusu akaunti yako, malipo, au namna Rollnova inavyofanya kazi, tupigie au tutumie ujumbe kwa njia zilizo hapa chini.

Saa za kufanya kazi: Jumatatu – Jumapili